Kuwa Mdhamini wa Jamii
Biashara, taasisi na wadau wanaweza kusaidia maendeleo ya jamii kupitia ushirikiano na Neighborhood Watch.
Kuongeza Mwonekano
Logo kwenye tovuti na kampeni za jamii.
Kusaidia Jamii
Kuchangia maendeleo ya mitaa.
Kujenga Taswira Nzuri
Kuonyesha uwajibikaji kwa jamii.
Sponsorship Levels
Rafiki wa Jamii
Small businesses
Mdhamini wa Mtaa
Supports one mtaa
Mdhamini wa Mitaa Kadhaa
Supports multiple neighborhoods
Strategic Partner
Large organizations and NGOs
